Mo amlilia Dk Mahiga

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
1 May 2020
Mo amlilia Dk Mahiga

Mwekezaji wa Simba Mohammed Dewji 'Mo' ameeleza kupokea kwa masikitiko kifo cha Waziri wa Katiba na Sheria Dkt Augustine Philip Mahiga kilichotokea Alfajiri ya Leo Ijumaa May 01 2020

Kupitia ukurasa wake wa mtandao wa Instagram, Mo amesema msiba huo ni wa Watanzania wote

"Nimesikitishwa na taarifa ya kifo cha Mhe Balozi Dkt Augustine Philip Mahiga. Mungu akulaze mahali pema peponi. Kumpoteza kiongozi,  Waziri mpendwa wetu sote. Pole sana kwa familia. Mwenyezi Mungu awapeni moyo wa subra katika kipindi hiki kigumu"

"Mbele yetu, nyuma yake"

Kulingana na taarifa iliyotolewa na Serikali, Dk Mahiga aliugua ghafla nyumbani kwake jijini Dodoma na alifikishwa Hospitalini akiwa tayari amefariki

Mwenye ez Mungu aipumzishe roho yake mahali pema, pepon AMEN

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
53m ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
2h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
7h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
18h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’