Mzee Mgaza, Mwanachama maarufu Simba aaga dunia

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
30 Apr 2020
Mzee Mgaza, Mwanachama maarufu Simba aaga dunia

Mwanachama maarufu wa klabu ya Simba Haji Mgaza amefariki dunia leo Hospitali ya Temeke jijini Dar es salaam

Afisa Habari wa Simba Haji Manara amesema enzi za uhai wake, Mgaza alishiriki katika matukio mbalimbali yaliyoihusu klabu ya Simba

"Yeye alikuwa akiongoza visomo vya kuwarehemu Wanasimba waliotangulia mbele ya haki. Alikuwa kiongozi wa kiimani na Mwanachama wetu mkubwa"

"Tunawapa pole wote waliogushwa na msiba huu," amesema Manara

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
6h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
12h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
15h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
18h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
19h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’