Ndemla ajifua ufukweni

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
30 Apr 2020
Ndemla ajifua ufukweni

Kiungo Said Khamis Ndemla amejiwekea program ya kujifua ufukweni ili kulinda kiwango chake wakati huu ambao ligi imesimama kutokana na janga la corona

Ndemla aliyedumu Simba kwa misimu nane, amesema mazoezi anayofanya sasa ni kwa ajili ya kumjengea pumzi

Mwamba huyo mwenye 'msuli' wa kuachia makombora makali, mijadala mingi imekuwa ikihoji hatma yake ndani ya kikosi cha mabingwa hao wa nchi

Hata hivyo, Ndemla amewataka wale wanamshauri aondoke Simba watulie kwani ni yeye mwenyewe anayefahamu ni kitu gani anataka

Ndemla amekuwa na nafasi finyu kwenye kikosi cha kwanza lakini kocha Sven vandenbroeck amesema bado anamuhitaji kwenye kikosi chake kutokana na ubora alionao

Amesema kinachomfanya akose nafasi ni ushindani wa namba ulipo Simba na sio kuwa ni mchezaji mbaya

Alimtaka aongeze juhudi ya mazoezi pamoja na kujenga 'fitness' ya mwili ili ajihakikishie nafasi ya kucheza mara kwa mara

 

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
7h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
13h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
16h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
19h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
19h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’