Simba yaomboleza kifo cha Ndassa

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
29 Apr 2020
Simba yaomboleza kifo cha Ndassa

Uongozi wa klabu ya Simba umeeleza kupokea kwa masikitiko kifo cha aliyekuwa Mbunge wa Sumve, Mhe Richard Ndassa kilichotokea leo

"Poleni Wanasimba wote kwa msiba wa mwanachama wetu ambae ni Mbunge wa jimbo la Sumve, Mhe. Richard Ndassa"

"Ni msiba wetu sote, pamoja na wananchi wa jimbo lake. Pole zetu pia kwa Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai," umesema ujumbe wa Simba

Enzi za uhai wake, Ndassa alikuwa Mwanachama kindakindaki wa klabu ya Simba ambapo kwa nyakati tofauti aliteuliwa kuwa Mjumbe wa Kamati mbalimbali

Shirikisho la mpira wa miguu Tanzania (TFF) limetuma salamu za rambirambi kufuatia kifo chake

 

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
7m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
4h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
16h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
21h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’