Bosi FIFA ashauri ligi zirejee Septemba

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
29 Apr 2020
Bosi FIFA ashauri ligi zirejee Septemba

Afisa Mkuu wa FIFA anaeshughulika na mambo ya Afya Dr Michel D'Hooghe amesema haoni Kama ligi mbalimbali Duniani zitarejea kabla ya Mwezi September Mwaka huu

Dk Michel amesema pamoja na juhudi zinazofanyika katika nchi mbalimbali ili ligi hizo zirejee kutokana na hofu la anguko la kiuchumi kwa vilabu, lakini anaona kulinda afya ndio jambo muhimu zaidi kupindi hiki

"Naona juhudi zinafanyika ili ligi ziweze kuendelea kwa kuhofia anguko la kiuchumi kwa vilabu na mashirikisho, lakini tunapaswa kuliangalia suala la afya na uhai kwa ukaribu zaidi kuliko suala la pesa"

"Ni kweli Kuna Wakati tulitakiwa tuchague pesa au afya na upande wa Pesa ukashinda lakini kwa Sasa naamini upande wa Afya na Uhai utashinda," amesema

Dunia iko katika taharuki kubwa juu ya kuenea kwa Virusi vya Corona vinavyosababisha ugonjwa wa Covid 19 na Michezo mbalimbali Duniani ikisimama

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
2h ago
READ MORE β†’
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
16h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
18h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
19h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
21h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
1d ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
2d ago
READ MORE β†’