Hatuhitaji kusajili wachezaji wengi - Sven

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
29 Apr 2020
Hatuhitaji kusajili wachezaji wengi - Sven

Kocha Mkuu wa Simba Sven Vandenbroeck amesema kikosi chake hakihitaji maboresho makubwa kwa ajili ya msimu ujao

Sven ambaye anasubiri kuhuisha mkataba wake kuendelea kuwanoa mabingwa hao wa nchi, amebainisha kuwa ubora wa kikosi chake unampa matumaini ya kuendelea kufanya vizuri msimu ujao

Amesema katika mapendekezo aliyoupa uongozi wa Simba, hahitaji usajili wa nyota wengi kwa kuwa waliopo wanafanya vizuri

"Ukiangalia kikosi chetu utaona tuna wachezaji wazuri, wapambanaji hivyo hatuna sababu ya kufanya usajili mkubwa isipokuwa kwa nafasi chache zenye mapungufu," amesema Sven

Simba ina kila nafasi ya kutetea ubingwa wake kwa msimu watatu mfululizo hivyo itajihakikishia tiketi ya kushiriki michuano ya ligi ya mabingwa barani Afrika msimu ujao

Usajili utakaofanywa na 'machampion' hao wa nchi, utalenga zaidi michuano hiyo

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
10h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
16h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
19h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
22h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
22h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
23h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’