Kakolanya afurahia maisha Simba

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
28 Apr 2020
Kakolanya afurahia maisha Simba

Mlinda lango wa Simba Beno Kakolanya amesema kuwa ana Amani tangu ajiunge na mabingwa hao wa Tanzania Bara mwanzoni mwa msimu huu akitokea klabu ya Yanga

Kakolanya amesema anapata sapoti kutoka kwa viongozi, wachezaji na mashabiki wa Simba jambo linalompa moyo wa kujituma zaidi

"Maisha ndani ya Simba nayafurahia. Napata ushirikiano kutoka kwa viongozi, wachezaji wenzangu hadi kwa mashabiki, " amesema

Kwa nyakati tofauti, Kakolanya amekuwa akipokezana majukumu la kulilinda lango la Simba na mwenzake Aishi Manula

Kwa sasa anaendelea kufanya mazoezi binafsi kujiweka fiti wakati huu ambao ligi imesimama kutokana na janga la Corona

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
1m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
4h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
16h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
21h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’