Simba yapania kuweka rekodi ubingwa VPL

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
28 Apr 2020
Simba yapania kuweka rekodi ubingwa VPL

Mabingwa wa nchi Simba wako kileleni mwa msimamo wa ligi wakiwa na alama 71, ambazo ni alama 17 dhidi ya Azam Fc inayoshika nafasi ya pili

Kama sio ugonjwa wa corona ambao umesitisha shughuli za michezo kote duniani, pengine Simba ingekuwa tayari imeweka kibindoni ubingwa wa tatu mfululizo na wangekuwa wanapigania kuweka rekodi mpya ya kufikisha angalau alama 100

Kama Simba itashinda mechi zote 10 zilizobaki, itaweza kufikisha alama 101 na kuwa timu ya kwanza kufanya hivyo katika soka la Tanzania

Lakini pia, inaweza kuweka rekodi ya tofauti kubwa ya pointi baina yake na timu inayofuata nafasi ya pili

Simba ndio inashikilia rekodi ya kuchukua ubingwa kwa alama nyingi dhidi ya timu inayofuata nafasi ya pili

Msimu wa 2009/10 Simba ilitwaa ubingwa kwa tofauti ya alama 13 dhidi ya Yanga iliyomaliza kwenye nafasi ya pili

Kocha Mkuu wa Simba Sven Vandenbroeck amesema ligi itakaporejea wamepania kufanya vizuri katika michezo yote iliyobaki

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
7h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
10h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
11h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
13h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
17h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’