Mkude apiga tizi la 'kufa mtu'

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
27 Apr 2020
Mkude apiga tizi la 'kufa mtu'

Kiungo fundi wa Simba Jonas Mkude ameendelea kufanya mazoezi binafsi kujiweka sawa kabla ya ligi kurejea

Kwa sasa ligi imesimama kutokana na hofu ya kuenea kwa maambukizi ya virusi vya corona, inavyosababisha ugonjwa wa Covid 19.

Mkude amekuwa akiendelea kufanya mazoezi binafsi katika fukwe za Coco, jijini Dar es Salaam kutokana na program maalum aliyopewa na makocha wake, baada ya Serikali kuzuia shughuli zinazoleta mikusanyiko ya watu kwa lengo la kukabiliana na ugonjwa huo.

Jana kupitia akaunti ya mitandao mabalimbali ya instagrama, kulisambaa video iliyokuwa ikumuonesha Mkude akiwa katika mazoezi makali ya kusaka pumzi.

Katika video hiyo, Mkude alionekana akiwa amefunga kamba tairi la gari kubwa kisha kujifunga kiunoni na kukimbia nao kwenye mchanga.

Hii ni mara ya kwanza kwa Mkude kuonekana hadhari akiwa katika mazoezi tangu Simba ilipovunja kambi yake kikiwa ni sehemu ya agizo la serikali juu ya mapambano dhidi ya ugonjwa Covid 19

Mkude amesema kuwa anafanya mazoezi mara mbili kwa siku, asubuhi na jioni katika kuhakikisha anatekeleza mazoezi aliyoachiwa na benchi la ufundi

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
43m ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
3h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
4h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
6h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
10h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
22h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’