Ndemla anasubiri mkataba mpya Simba

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
27 Apr 2020
Ndemla anasubiri mkataba mpya Simba

kwa siku za karibuni kumeibuliwa mijadala inayomuhusu kiungo wa Simba Said Ndemla ambapo baadhi ya wadau wamemshauri aondoke Simba akatafute changamoto mahali pengine ambako atakuwa na uhakika wa kucheza ili kulinda kiwango chake

Ndemla ambaye yuko kwenye kikosi cha Simba kwa miaka nane sasa, amedumu Msimbazi kwa muda mrefu licha ya changamoto ya nafasi ya kudumu kwenye kikosi cha kwanza

Hata hivyo Ndemla mwenyewe amesema kwa hapa Tanzania anajisikia amani zaidi kucheza klabu ya Simba, ataondoka Simba kama atapata timu nje ya nchi

Amesema suala la kutopata nafasi kwenye kikosi cha kwanza linatokana na ushindani wa namba baina ya wachezaji waliopo na sio kuwa ameshuka kiwango

"Mkataba wangu na Simba unamalizika mwishoni mwa msimu, bado naipa timu yangu kipaumbele kama tutakubaliana waniongeze mkataba. Lakini kwa sasa nafuatilia nafasi ya kwenda kucheza nje ya nchi. Kama nitafanikiwa nitaondoka, lakini kama sitafanikiwa natamani niendelee kubaki hapa," amesema

"Kukosa nafasi kwenye kikosi cha kwanza ni changamoto inayoweza kutokea kwa mchezaji yeyote hasa inapotokea kuna ushindani wa namba kama ilivyo kwa Simba sasa, lakini muhimu ni kuendelea kupambana ili kujitengenezea mazingira ya kuaminiwa na kocha"

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
1h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
5h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
17h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
22h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’