Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) litapokea zaidi ya Tsh Bilioni 1.1 kutoka Shirikisho la soka duniani (FIFA) kwa ajili ya kusaidia shughuli za mpira wakati huu ambao ligi zimesimama kutokana na janga la corona
FIFA imeahidi kutoa msaada wa zaidi ya Bilioni 347 kwa nchi 211 wanachama wa shirikisho hilo
Msaada huo unatolewa wakati ambao vilabu vimeanza kupata changamoto za kiuchumi baada ya ligi mbalimbali kusimama kwa sababu ya corona
Vilabu vingi vinawakata wachezaji mishahara ili kumudu gharama za uendeshaji kwa kuwa wakati huu mapato ya timu yamepungua
ADVERTISE HERE