Mkude anahitaji misimu miwili tu kumfikia Mwakingwe

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
26 Apr 2020
Mkude anahitaji misimu miwili tu kumfikia Mwakingwe

Kwa sasa mchezaji aliyedumu zaidi kwenye kikosi cha Simba ni Jonas Mkude ambaye yuko Msimbazi kwa misimu 10

Hata hivyo nyota anayeshikilia rekodi ya kucheza muda mrefu zaidi Simba ni winga Ulimboka Mwakingwe ambaye alidumu Msimbazi kwa misimu 12

Mkude anahitaji misimu miwili tu kuifikia rekodi hiyo

Mkude alijiunga na Simba mwaka 2008, akianzia timu ya vijana kabla ya Kocha Selemani Matola kumpandisha kikosi cha kwanza

Ni heshima kubwa kwa mchezaji kudumu kwenye timu moja kwa muda mrefu na hata pale anapostaafu anakuwa amejitengenezea mazingira mazuri ya kuajiriwa au kupewa majukumu ya kiuongozi

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
31m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
4h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
16h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
22h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’