APR yakana kumuwania Kagere

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
24 Apr 2020
APR yakana kumuwania Kagere

Klabu ya APR ya Rwanda imekanusha taarifa kuwa inanyatia saini ya mshambuliaji kinara wa ligi kuu Tanzania bara anayekipiga katika timu ya Simba, Meddie Kagere.

Taarifa kutoka katika mitandao ya kijamii nchini humo vimeripoti kuwa timu hiyo inataka kumsajili mshambuliaji huyo ambaye tayari msimu huu amefunga mabao 19 kwenye ligi.

Msemaji wa klabu hiyo, Clever Kazungu amesema Kagere bado ana mkataba na Simba na hawana mpango wa kumsajili hivyo watu waache kuwachonganisha na Wekundu hao wa Msimbazi.

Kazungu ameongeza kuwa tetesi kama hizi zinaweza kumfanya Kagere kukosa utulivu na katika kipindi hiki cha mapumziko ya mlipuko wa Virusi vya Corona hivyo amewataka watu kutupilia mbali uvumi huo.

"Sisi kama APR tunapenda kuona wachezaji wengi kutoka Rwanda wanacheza soka nje ya nchi. Kagere ni mali ya Simba na anafanya vizuri sisi hatujawahi kutaka kumrudisha tena hizo taarifa ni uzushi mtupu," alisema Kazungu

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
7h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
9h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
10h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
16h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’