Fraga asubiri mkataba mpya Simba

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
24 Apr 2020
Fraga asubiri mkataba mpya Simba

Mkataba wa kiungo mkabaji Gerson Fraga unamalizika mwishoni mwa msimu na bado mazungumzo ya mkataba mpya bado hayajaanza

Fraga raia wa Brazil ni miongoni mwa wachezaji ambao wanapigiwa chapuo waongezewe mkataba

Upo uwezekano mkubwa mabosi wa Simba watampa mkataba mwingine wa mwaka mmoja nyota huyo aliyeifungia Simba mabao matatu

Lakini hali ni tofauti kwa mwenzake beki wa kati Tairone Da Silva ambaye ni wazi Simba imeamua kuachana nae

Fraga, Tairone na Wilker Da Silva walitua Simba msimu huu ambapo Fraga alitokea nchini India wakati Tairone na Wilker walitokea moja kwa moja Brazil

Wilker aliachwa usajili wa mwezi Januari baada ya kushindwa kuwashawishi mabosi wa klabu ya Simba

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
7h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
13h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
16h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
19h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
20h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’