Makundi Ligi ya mabingwa uwe utamaduni wetu - Magori

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
23 Apr 2020
Makundi Ligi ya mabingwa uwe utamaduni wetu - Magori

Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi klabu ya Simba,  Crescentius Magori, amesema kabla ya klabu hiyo kuanza kufikiria taji la ligi ya mabingwa, inapaswa wajenge utamaduni wa kucheza hatua ya makundi kila msimu

Magori ambaye wakati akiwa Mtendaji Mkuu aliwaongoza mabingwa hao wa nchi hadi kufika hatua ya robo fainali ya michuano hiyo mikubwa zaidi barani Afrika kwa ngazi ya vilabu, amesema huo unapaswa uwe utamaduni wa Simba

"Utatakiwa kujihakikisha kuingia mara kwa mara katika makundi, halafu robo fainali, hapo tayari utakuwa unafikiria ubingwa wa Afrika, tunahitaji kuendelea kuwekeza, kwa kuanzia kuwa na wachezaji wenye uwezo wa kupambana kwenye hatua hizo za juu," amesema.

Simba iko katika mkakati wa kukiimarisha kikosi chake ili kuhakikisha inafanya vizuri kwenye michuano ya ligi ya mabingwa msimu ujao

Msimu uliopita haukuwa mzuri kwa mabingwa hao wa Tanzania Bara kwani waliondoshwa kwenye hatua za awali

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Kikosi : Fountain Gate vs Simba, NBC PL, Oct 29
Kikosi : Fountain Gate vs Simba, NBC PL, Oct 29
1h ago
READ MORE β†’
Kamati ya uchaguzi Simba imesisitiza, mchakato unaendelea
Kamati ya uchaguzi Simba imesisitiza, mchakato unaendelea
1h ago
READ MORE β†’
Mangungu aibuka, apinga mchakato wa uchaguzi Simba
Mangungu aibuka, apinga mchakato wa uchaguzi Simba
3h ago
READ MORE β†’
Tutapambana tuvuke mtoano - Barker
Tutapambana tuvuke mtoano - Barker
4h ago
READ MORE β†’
Matchday; Fountain Gate vs Simba, NBC PL
Matchday; Fountain Gate vs Simba, NBC PL
6h ago
READ MORE β†’
Simba yatangaza ratiba ya uchaguzi, Wanachama kuanza kuchukua fomu Oktoba 30
Simba yatangaza ratiba ya uchaguzi, Wanachama kuanza kuchukua fomu Oktoba 30
7h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
9h ago
READ MORE β†’
Simba kuanza na Pirates nyumbani makundi CAFCL
Simba kuanza na Pirates nyumbani makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Simba uso kwa uso na Berkane, Pirates kundi C
Simba uso kwa uso na Berkane, Pirates kundi C
1d ago
READ MORE β†’
Hakuna rekodi ya zamani ambayo itaishi mbele ya Simba - Ahmed
Hakuna rekodi ya zamani ambayo itaishi mbele ya Simba - Ahmed
1d ago
READ MORE β†’