Mabosi Simba wanaendelea kuweka sawa mikakati

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
23 Apr 2020
Mabosi Simba wanaendelea kuweka sawa mikakati

Pamoja na ligi kusimama kutokana na janga la corona huku kila Mwananchi akitakiwa kuchukua tahadhari, mabosi wa klabu ya Simba wameendelea kutekeleza majukumu yao kwa tahadhari pia

Afisa Mtendaji Mkuu wa Simba, Senzo Mazingisa, amesema wanaendelea kufanya vikao vya mara kwa mara na benchi la ufundi ili kujiimarisha na kuwa tayari kumalizia msimu.

Asema pia wanahitaji kujiweka tayari na maandalizi ya msimu mpya licha ya kuwapo kwa hofu ya maambukizi ya virusi vya ugonjwa wa corona (COVID 19).

"Covid- 19 imebadilisha utendaji wetu wa kazi wa kila siku, hata namna ya kufanya vikao imekuwa ni changamoto, lakini lazima tutarejea katika maisha yetu ya mpira, tunatakiwa kuwa tayari," amesema

Aliongeza Simba haitaacha kuendelea na mipango yake, ingawa kwa sasa wanafanya majukumu yao kwa njia nyingine.

"Tunaendelea na kazi kama kawaida, mipango yetu haiwezi kusimama, tunaendelea kupeana mwongozo na hatutaacha kuwajulisha wadau wetu kila tunachokifanya kuelekea mwishoni mwa msimu huu"

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
11h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
13h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
14h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
21h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’