Idadi ya wachezaji wa kigeni kupunguzwa

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
23 Apr 2020
Idadi ya wachezaji wa kigeni kupunguzwa

Serikali imeliagiza Baraza la Michezo la Taifa (BMT) kuhakikisha kunakuwa na ukomo wenye tija kwa wachezaji wa kigeni wanaokuja kusakata kabumbu nchini

Akiwasilisha Bajeti ya Wizara yake jana, Waziri mwenye dhamana ya Michezo Dk Harrison Mwakyembe alisema pamoja na TFF kuruhusu usajili wa wachezaji wa kigeni mpaka 10, lakini ni wachezaji wachache ambao wana ubora akiwatolea mfano Paschal Wawa, Meddie Kagere, Faroukh Shikhalo na Bernard Morrison wa vilabu vya Simba na Yanga

Dk Mwakyembe amesema Simba na Yanga zinaongoza kwa kusajili wachezaji wa kigeni, wanapaswa kuwa na ukomo wa wachezaji hao kwani hata sasa idadi kubwa ya wachezaji waliowasajili hawawatumii

Waziri ameiagiza BMT kutengeneza kanuni ambayo itawezesha kuimarisha uwezo wa wachezaji wa ndani

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
6h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
12h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
15h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
18h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
19h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’