Leo ni kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa beki Yusuf Mlipili 'Stopper'
Pamoja na kutopata nafasi mara kwa mara kwenye kikosi cha Simba, Mlipili ni miongoni mwa wachezaji ambao bado mashabiki wa Simba wana imani nae
Bila shaka, wakati wake utafika kuweza kuonekana dimbani katika kikosi cha Sven Vandenbroeck
Tunamtakia kila la kheri kwenye siku hii muhimu kwake
HAPPY BIRTHDAY MLIPILI...!
ADVERTISE HERE