Sven ataka Miquissone wengine Simba

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
21 Apr 2020
Sven ataka Miquissone wengine Simba

Kocha Mkuu wa Simba Sven Vandenbroeck ameweka wazi kuwa anahitaji viungo wakali wenye uwezo mithili ya Luis Miqussone ambao anaamini watampa matokeo ndani ya uwanja.

Miquissone aliyetua Simba usajili wa dirisha dogo,  kabla ya Ligi Kuu Bara kusimamishwa alikuwa tayari amewafungia mabingwa hao wa nchi mabao matatu

Sven tayari ametoa mapendekezo yake ya aina ya wachezaji anaowataka huku akisisitiza kwamba anahitaji viungo wenye uwezo wa kunyumbulika zaidi 

Akiwa amejiunga na Simba mwezi Januari, Miqussone alicheza mechi 8 na alifunga mabao matatu na kutoa pasi moja ya bao lililofungwa na Meddie Kagere kwenye mchezo dhidi ya Bashara United

Ametumia dakika 624 uwanjani. Mechi zake hizi hapa:-JKT Tanzania (90), Mtibwa Sugar (16), Kagera Sugar (90), Biashara United (90), KMC (75) na Azam (83), Yanga (90), Singida United (90)

GPL

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
1h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
4h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
5h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
7h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
11h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
23h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’