Ndemla aipa Simba nafasi ya kwanza

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
21 Apr 2020
Ndemla aipa Simba nafasi ya kwanza

Said Ndemla ni kiungo aliyedumu kwenye kikosi cha Simba kwa muda mrefu licha ya kuwa amekuwa na nafasi finyu kwenye kikosi cha kwanza

Mkataba wake na mabingwa hao wa nchi unamalizika mwishoni mwa msimu lakini mwamba huyo mwenye 'msuli' wa kupiga mashuti makali, amesema anasubiri ofa ya mkataba mwingine Simba

Amesema pamoja na kuwa na mipango ya kwenda kucheza nje ya nchi, ataikiliza kwanza klabu yake ya Simba

"Bado natamani kuendelea kubaki ndani ya Klab ya Simba baada ya mkataba wangu kuisha mwisho wa msimu huu. Nimepata ofa nyingi kutoka vilabu vya Tanzania ila anatamani kucheza soka nje ya nchi ambayo ndio ndoto yangu," amesema

Hivi karibuni kocha Mkuu wa Simba Sven Vandenbroeck alisema kuwa timu yake bado inahitaji huduma ya kiungo huyo

Alisema Ndemla ana kiwango kizuri, kinachomkwamisha kupata nafasi mara kwa mara ni ushindani wa namba uliopo kwenye kikosi chake

Alimtaka nyota huyo aongeze juhudi mazoezini ili kuweza kujihakikishia nafasi kwenye kikosi cha kwanza

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
7h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
13h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
16h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
19h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
20h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
20h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’