Kikosi cha Simba kimewasili Bukoba, mkoani Kagera tayari kwa mchezo wa ligi kuu ya Vodacom dhidi ya wenyeji wao Kagera Sugar.
Mchezo huo utapigwa Jumatatu, Januari 22 katika dimba la Kaitaba.
Simba itaivaa Kagera Sugar kwenye uwanja huo ikiwa na kumbukumbu ya kupoteza mchezo muhimu uliopelekea sintofahamu ya hatma ya ubingwa msimu ulipita.

ADVERTISE HERE