Gadiel atahadharisha kuhusu corona

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
20 Apr 2020
Gadiel atahadharisha kuhusu corona

Beki wa pembeni wa Simba Gadiel Michael amesema kwa sasa ni muhimu kwa kila Mtanzania kulinda afya yake kwa kujikinga na maambukizi ya virusi vya Corona

Gadiel ambaye mwishoni mwa wiki alikuwa mgeni kwenye kipindi cha ChatNa kinachoendeshwa na idara ya habari ya klabu ya Simba, amesema pamoja na kuendelea kutekeleza program ya mazoezi aliyoachia na Mwalimu, amekuwa makini kujikinga na ugonjwa huo

"Kwa sasa dunia nzima iko katika mapambano ya ugonjwa corona, hatupaswi kupuuza yale tunayoelekezwa na wataalamu," amesema

"Tunapaswa kuchukua tahadhari na kufuata maelekezo yote yanayotolewa na Serikali ili kulinda usalama wetu. Binafsi nimekuwa nikifanya mazoezi lakini nachukua tahadhari zote muhimu kujikinga"

Nyota aliyetua Simba mwanzoni mwa msimu akitokea klabu ya Yanga, amesema ligi itakaporejea atakuwa fiti kuweza kuisaidia timu yake kufikia malengo waliyojiwekea ambayo ni kutwaa ubingwa kwa msimu wa tatu mfululizo

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
7m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
4h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
16h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
21h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’