Tarehe kama ya leo alizaliwa mlinda lango namba tatu wa Simba Ally Salim
Salim yuko ndani ya kikosi cha Simba kwa msimu wa pili sasa
Kinda huyo aliyepandishwa kutoka timu ya vijana, anasubiri wakati wake kupata nafasi kwenye kikosi cha kwanza
Kwa sasa bado anahitaji kujifunza kutoka kwa kaka zake, Aishi Manula na Beno Kakolanya
Tunamtakia kila la kheri katika siku hii muhimu kwake
HAPPY BIRTHDAY SALIM..
ADVERTISE HERE