Mkakati wa usajili Simba uko hivi

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
19 Apr 2020
Mkakati wa usajili Simba uko hivi

Klabu ya Simba inaweza kuongeza mshambuliaji mmoja tu usajili ujao kulingana na mapendekezo ya kocha Sven Vandenbroeck

Mbelgiji huyo ameeleza kuridhishwa na kasi ya washambuliaji wake Meddie Kagere na John Bocco hivyo kutohitaji mabadiliko makubwa katika nafasi hiyo

Aidha kurejea kwa Miraji Athumani aliyekuwa majeruhi kwa muda mrefu, kumempa Sven jeuri ya kuamini kikosi chake kitaendelea kufanya vizuri

Katika mapendekezo yake, Sven ametaka aletewe mshambuliaji atakayekuwa na uwezo kama au zaidi ya hawa waliopo

Simba pia inatarajiwa kuongeza nguvu eneo la ulinzi wa kati ambapo huenda walinzi wawili wakasajiliwa sharti likiwa mmoja awe anatumia mguu wa kushoto

Pia mlinzi wa kulia pamoja na kiungo mkabaji ni nafasi nyingine ambazo zinatarajiwa kuongezewa nguvu

Mabingwa hao wa nchi wana mkakati kabambe wa kukiimarisha kikosi chao kwa ajili ya michuano ya ligi ya mabingwa msimu ujao

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
7m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
4h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
16h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
21h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’