Simba inasubiri wakati mwafaka kushusha 'majembe'

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
18 Apr 2020
Simba inasubiri wakati mwafaka kushusha 'majembe'

Mtendaji Mkuu wa Simba Senzo Mazingisa amesisitiza kuwa klabu hiyo imejiandaa kusajili wachezaji wote waliopendekezwa na kocha wao Sven Vandenbroeck bila ya kujali nchi au timu wanazocheza sasa

Pamoja na kuwepo kwa tetesi nyingi za usajili, Senzo amesema Sven ndiye anayefahamu wachezaji anaowahitaji hivyo Wanasimba wawe na subira wakati mwafaka ukifika watasajili wachezaji hao

"Wakati huu bado dirisha la usajili halijafunguliwa, mengi yanayoripotiwa kwenye vyombo vya habari ni tetesi tu. Sisi tuna utaratibu wetu wa kufanya usajili ambapo ripoti nzima inatoka kwa Mwalimu wetu," amesema

"Hatuna wasiwasi kuwapata wachezaji wote wa ndani tunaowahitaji, labda changamoto inaweza kujitokezwa kwa wachezaji wa nje ya nchi ambao mahitaji yao yanakuwa tofauti. Lakini tutafanya kila linalowezekana kuwapata"

Wadau wa Simba wamepongeza usajili wa Luis Miquissone uliofanyika mwezi Januari, mashabiki wakiwa na shauku kuona Simba inaleta wachezaji wengine wenye uwezo kama wa Miquissone au zaidi

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
13h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
16h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
17h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
23h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’