Simba inapigia hesabu mataji yote, Senzo ataja sababu

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
17 Apr 2020
Simba inapigia hesabu mataji yote, Senzo ataja sababu

Klabu ya Simba imedhamiria kushinda mataji yote mawili ligi kuu na kombe la FA ili kujiongezea ushawishi wa kuwanasa wachezaji wazuri kujiunga nao, amesema Mtendaji Mkuu wa Simba Senzo Mazingisa

Kimahesabu, Simba tayari imejihakikishia ubingwa wa ligi kuu, kinachosubiriwa ni kumalizika kwa changamoto hii ya corona ambayo imetangazwa kuwa janga la dunia ili waweze kumalizia mechi zilizobaki

Hivyo kazi kubwa pengine itakuwa kwenye michuano ya kombe la FA ambapo mabingwa hao wa nchi walitinga hatua ya robo fainali

"Nadhani kama tutafanikiwa kuchukua ubingwa wa ligi na Kombe FA, kama malengo yetu yalivyo litakuwa jambo rahisi kwetu kupata wachezaji wazuri wenye uwezo wa kushindana katika ngazi ya Afrika kutokana na uwepo wa tiketi ya kucheza mashindano makubwa ngazi ya klabu ambayo kila mchezaji anayatamani kucheza," amesema Senzo

Kwa sasa Simba inaendelea na michakato ya ndani kuwaongezea mikataba nyota waliomaliza mikataba, lakini pia kukiwa na 'scouting' ya nyota wapya inayofanyika kwa usiri mkubwa

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
9h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
15h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
18h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
21h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
21h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
21h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’