Kagere kuongezwa mkataba Simba

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
16 Apr 2020
Kagere kuongezwa mkataba Simba

Kinara wa mabao kikosi cha mabingwa wa soka Tanzania Bara, Simba Meddie Kagere anatarajiwa kuongeza mkataba kuendelea kuwatumika wababe hao wa soka la Tanzania

Meneja wa Kagere Patrick Gakumba amethibitisha kuwa tayari mazungumzo ya mkataba mpya kwa mteja wake yamekamilika

Gakumba amesema kila kitu kimekamilika mazungumzo yote yameenda sawa na kichosubiriwa ni malipo na kutia saini kwenye karatasi za mkataba.

Kwa sasa Kagere na Gakumba wote wapo nchini Rwanda kwa mapumziko ya dharura kutokana na homa ya virusi vya Corona ambavyo vinaisumbua dunia nzima.

"Kagere bado yupo Simba na ataendelea kuwa Simba, tupo kwenye hatua za mwisho kabisa kusaini mkataba mpya. Hata kama itatokea ataondoka kwenda timu nyingine basi ataondoka akiwa mchezaji wa Simba," alisema Gakumba.

Kagere bado ana mwaka mmoja kwenye mkataba wake aliosaini mwaka jana

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
7h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
13h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
16h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
19h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
20h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
20h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’