Bora nikacheze Mtibwa kuliko Yanga - Dilunga

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
16 Apr 2020
Bora nikacheze Mtibwa kuliko Yanga - Dilunga

Kiungo mshambuliaji wa Simba Hassan Dilunga amesema mkataba wake na mabingwa hao wa nchi unamalizika mwishoni mwa msimu lakini tayari mazungumzo ya mkataba mpya yameanza

Dilunga aliyefunga mabao saba kwenye ligi msimu huu, amesema anaamini mazungumzo hayo yatakamilika salama na atasaini mkataba mpya lakini kama hawatafikia makubaliano yuko tayari kurejea Mtibwa Sugar kuliko Yanga

Dilunga amesema uzoefu alioupata wakati akiicheza Yanga misimu minne iliyopita, unamfanya asitamani kurejea tena kuichezea timu hiyo

"Jambo muhimu kwangu ni kupata nafasi ya kucheza. Kama nitashindwa kufikia makubaliano na Simba bora nirudi Mtibwa Sugar kwani wao ndio walionifanya niwe bora," amesema

Gazeti la jana la Mwanaspoti liliripoti kuwa klabu ya Yanga kupitia wadhamini wao GSM wamemuwekea Dilunga dau la Tsh Milioni 80

Mtendaji Mkuu wa Simba Senzo Mazingisa amesema Dilunga atapewa mkataba mpya kuendelea kukipiga Msimbazi

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
3h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
15h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
21h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’