Mwamba wa Lusaka acha awanyooshe

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
15 Apr 2020
Mwamba wa Lusaka acha awanyooshe

Wakati Yanga kupitia Makamu Mwenyekiti wao Fredrick Mwakalebela wakitapatapa kuhusu kiungo Clatous Chama, mwamba huyo kutoka jiji la Lusaka nchini Zambia ataendelea kuwa mali ya Simba kwa muda mrefu

Jana Msemaji wa Simba Haji Manara alibainisha kuwa mkataba wa Chama utamalizika mwezi Julai 2021 lakini mpango uliopo ni kuwa Chama ataongezewa mkataba mwingine utakaomuweka Msimbazi kwa muda mrefu zaidi

"Sisi tulikuwa tukiwaangalia wanavyotapatapa kujaribu kumsajili mchezaji ambaye hawana hata uwezo wa kumlipa mshahara...! Chama ni mtu muhimu sana kwenye klabu ya Simba, ataendelea kubaki katika historia ya klabu yetu kwa miaka mingi kutokana na mchango wake kwa klabu yetu," ametamba Manara

Tayari uongozi wa Simba umewasilisha malalamiko TFF kuomba hatua zichukuliwe kutokana na kitendo kilichofanywa na kiongozi wa Yanga kujitokeza hadharani kutangaza klabu yake inataka kumsajili Chama bila ya kuwasiliana na Simba inayommiliki

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
6m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
4h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
16h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
21h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’