Klabu ya Simba imewasilisha malalamiko kwa shirikisho la mpira wa miguu nchini (TFF) kufuatia kauli ya Makamu Mwenyekiti wa Yanga Fredrick Mwakalebela kuwa klabu yake imefanya mazungumzo na kiungo Clatous Chama ambaye ana mkataba na Simba

ADVERTISE HERE