Simba yapaa Kagera

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
19 Jan 2018
Simba yapaa Kagera
Baada ya ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya Singida United jana, kikosi cha Simba kimeondoka kwa ndege kwenda mkoani Kagera tayari kwa mchezo wa mzunguuko wa 14 dhidi ya Kagera Sugar.

Simba itaivaa Kagera Sugar siku ya Jumatatu, Januari 22 kwenye dimba la Kaitaba.

Ikiwa inaongoza kwa tofauti ya alama mbili dhidi ya Azam FC iliyo nafasi ya pili, benchi la Ufundi lililo chini ya kocha Mkuu Pierre Lechantre akisaidiwa na Masudi Djuma limedhamiria kuondoka na alama zote tatu mkoani Kagera
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
1h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
13h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
19h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
22h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’