FA ya Misri yawarahisishia Simba kumpata Okwi

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
14 Apr 2020
FA ya Misri yawarahisishia Simba kumpata Okwi

Chama cha soka nchini Misri (EFA) kimetangaza kupunguza idadi ya nyota wa kigeni wanaoruhusiwa kusajiliwa na timu za ligi kuu, ligi daraja la kwanza na la pili

Mganda Emmanuel Okwi anayekipiga klabu ya Ittihadi ya Alexandria ni miongoni mwa wachezaji wa kigeni wanaosakata kabumbu huko Misri ambao wanaweza kuathiriwa na sheria hiyo

Kulingana na sheria hiyo mpya itakayoanza kutumika msimu ujao, timu za ligi kuu zitaruhusiwa kusajili wachezaji wanne tu wa kigeni badala ya idadi ya sasa ya wachezaji watano, wakati daraja la kwanza ni wachezaji watatu tu

Kwa zile timu ambazo zina idadi ya wachezaji wa kigeni zaidi ya wale wanaotakiwa, zimetakiwa kujiandaa kupunguza wachezaji hao

Hii inaweza kuwa habari nzuri kwa Simba ambayo inaelezwa kuwa na mkakati wa kumrejesha nyumbani nyota wake Okwi

Okwi alijiunga na Ittihadi mwanzoni mwa msimu kwa mkataba wa miaka miwili

Nyota huyo ameifungia Ittihadi mabao mawili katika mechi 14 za ligi kuu alizocheza

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
43m ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
3h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
4h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
6h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
10h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
22h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’