Manara afunguka usiri wa usajili Simba

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
14 Apr 2020
Manara afunguka usiri wa usajili Simba

Mkuu wa kitengo cha habari na Mawasiliano klabu ya Simba Haji Manara, amesema michakato yote ya usajili inafanywa kwa umakini mkubwa na taarifa sahihi zitatolewa kupitia kurasa rasmi za habari za klabu ya Simba

Manara amesema taarifa sahihi za usajili wa klabu hiyo zitatolewa na uongozi katika kurasa zake kama ilivyokuwa msimu uliopita

"Sisi hatufanyi usajili hovyohovyo kama wenzetu hata taarifa zetu za usajili sio rahisi kuzipata kama sio mtu wa ndani. Kwa sasa mengi yanayoripotiwa na vyombo vya habari ni tetesi tu ambazo nyingi hazina ukweli wowote. Wanasimba wasubiri wakati mwafaka, kila kitu tutakiweka hadharani kwenye kurasa zetu kama ilivyokuwa mwaka uliopita," amesema Manara

Mashabiki wa klabu ya Simba wana shauku kubwa ya kusikia taarifa za maboresho ya kikosi chao kuelekea michuano ya ligi ya mabingwa msimu ujao

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
6m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
4h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
16h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
21h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’