Manara afafanua mchakato wa Bilioni 20

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
14 Apr 2020
Manara afafanua mchakato wa Bilioni 20

Afisa Habari wa klabu ya Simba Haji Manara amesema fedha za uwekezeji Bilioni 20 kwa sasa bado hazijawekwa kwenye akaunti ya klabu ya Simba kutokana na kutokamilika kwa mchakato wa uwekezaji

Hata hivyo Manara amesema mchakato huo ukikamilika fedha hizo zitaingizwa kwenye akaunti

"Nawaambia wanachama na mashabiki wa Simba wasiyumbishwe na maneno ya huko mtaani. Simba iko imara na mwekezaji wetu Mohammed Dewji anaendelea kuchapa kazi"

"Klabu ya Simba inaendelea kukamilisha mchakato wa uwekezaji kwa kufuata na sheria za nchi. Mchakato huo ukikamilika fedha za uwekezaji zitaingizwa kwenye akaunti"

"Mo ni mwanahisa namba moja, akimiliki hisa asilimia 49, kampuni tayari imesajiliwa Brella hivyo tuwe na subira"

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Makundi CAFCL kujulikana leo
Makundi CAFCL kujulikana leo
1h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
4h ago
READ MORE β†’
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
19h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
21h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
22h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
1d ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
2d ago
READ MORE β†’