Usajili wa Chama : Simba kuishitaki Yanga TFF

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
14 Apr 2020
Usajili wa Chama : Simba kuishitaki Yanga TFF

Uongozi wa klabu ya Simba unaandaa barua kupeleka Shirikisho la soka Tanzania (TFF) kuishitaki klabu ya Yanga baada Makamu Mwenyekiti wao Fredrick Mwakalebela kukiri kuzungumza na kiungo Clatous Chama kutaka kumsajili huku akiwa na mkataba zaidi ya miezi sita.

Jana Mwakalebela alinukuliwa na baadhi ya radio hapa hapa jijini akisema wamezungumza na raia huyo wa Zambia kutaka kumsajili katika dirisha lijalo kitu ambacho ni kinyume na kanuni.

Manara amesema mkataba wa Chama utamalizika Julai mwaka 2021 hivyo kitendo cha Mwakalebela kutoka hadharani kusema wamefanya mazungumzo nae ni kukiuka kanuni za soka na suala ambalo watalifikisha TFF.

Msemaji huyo ameongeza kuwa klabu ya Yanga haijifunzi kwakua waliwahi kupigwa faini ya milioni 50 kwa kosa la kumtangaza mlinzi Hassan Kessy kabla ya mkataba wake kumalizika na sasa watapigwa nyingine kwa Chama.

"Tutaiandika barua TFF kuhusu Mwakalebela kuongea na mchezaji wetu mwenye mkataba na kuvunja kanuni za ligi, katika suala hili hatuwezi kukaa kimya," alisema Manara

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
6h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
12h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
15h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
18h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
19h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’