Chama awatuliza mashabiki Simba

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
13 Apr 2020
Chama awatuliza mashabiki Simba

Kiungo fundi wa Simba Clatous Chama amewataka mashabiki wa timu hiyo kupuuza tetesi zinazoendelea kwenye mitandao ya kijamii zinazomuhusisha na klabu ya Yanga kwani hazina ukweli wowote

Chama ambaye yuko kwao nchini Zambia akiendelea na mazoezi binafsi wakati huu ambao ligi imesimama kutokana na janga la corona, amesema bado ana mkataba na klabu ya Simba

"Mimi ni mchezaji halali wa Simba kwani bado mkataba wangu haujamalizika. Katika mitandao ya kijamii lolote linaweza kuandikwa lakini haimaanishi kila kinachoandikwa kina ukweli. Hizo ni habari za mitandaoni tu,"amesema Chama

Chama anatarajiwa kuongeza mkataba kuendelea kukipiga Msimbazi kwa muda mrefu zaidi pale atakaporejea baada ya changamoto ya corona kumalizika

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
6h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
12h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
15h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
18h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
19h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’