Mcongomani afichua mpango wa kutua Simba

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
13 Apr 2020
Mcongomani afichua mpango wa kutua Simba

Simba inahusishwa kumuwania mshambuliaji wa Fc Lupopo Mpiana Monzinzi mmoja wa vinara wa mabao ligi kuu ya Congo

Nyota huyo anayefukuzana na Jackson Muleka wa TP Mazembe (ana mabao 10, Muleka 12) kwenye vita ya kuwania kiatu cha dhahabu ligi kuu ya Congo, amefichua kufanya mawasiliano na viongozi wa Simba

"Walinipigia simu kuulizia mahitaji yangu. Mimi niko tayari kufanya kazi nao, nafahamu Simba ni timu kubwa Tanzania. Nitafurahi kwenda kuungana na kaka yangu Deo Kanda ambaye nafahamu anacheza kunako klabu hiyo," Monzinzi alinukuliwa na mtandao wa Adiac Congo

Monzinzi anatajwa kuwa pendekezo la kocha Sven vandenbroeck aliyehitaji kuletewa mshambuliaji ambaye atashirikiana na John Bocco na Meddie Kagere

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
3h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
6h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
7h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
9h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
13h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’