Tuongeze tahadhari corona inaua - Manara

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
12 Apr 2020
Tuongeze tahadhari corona inaua - Manara

Mkuu wa kitengo cha Habari ya Uhamasishaji klabu ya Simba Haji Manara amewataka watanzania wote kuendelea kujilinda na ugonjwa wa corona kwani ni hatari

Manara amesema kifo cha aliyekuwa Mjumbe wa Kamati ya Uchaguzi klabu ya Simba ni ujumbe tosha kuwa tunapaswa kujihadhari na ugonjwa huu ambao Shirika la Afya duniani (WHO) limeutangaza kuwa janga la dunia

"Hao wote hapo pichani juu ni kaka zangu, Wanasimba wenzangu, rafiki zangu lakini mmoja tumemzika majuzi tu. Iddi Mbita, aliyevaa flana nyekundu !! Daaaah , haya maradhi yapo ndugu zangu, tuendelee kuchukua tahadhari na kumuomba sana Mungu," ameandika Manara kwenye ukurasa wa Instagram

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
1h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
2h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
4h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
8h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
20h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’