Sven afurahia ushirikiano benchi la Ufundi

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
11 Apr 2020
Sven afurahia ushirikiano benchi la Ufundi

Kocha Mkuu wa Simba, mabingwa wa nchi Sven Vandenbroeck amesema kwa sasa anafurahia ushiriano anaopata kutoka kwa makocha wenzie wa benchi la ufundi la timu hiyo

Akijibu maswali ya mashabiki katika kipindi cha ChatNa leo, Sven amesema kwa sasa kila kitu kiko sawa

Mbelgiji huyo amekiri mwanzoni alikabiliwa na changamoto ya mawasiliano

"Mwanzoni kufanya nao kazi haikuwa rahisi lakini ukiliangalia sasa utaona tunashirikiana sana na hata ukiangalia moja ya picha iliyopigwa na mtu wetu wa habari utaona kwamba kila kitu kinafanyika vizuri," amesema

Sven na kocha msaidizi Selemani Matola wanakaribia kuiwezesha Simba kutwaa ubingwa wa ligi kuu kwa msimu wa tatu mfululizo

Kwa sasa ligi imesimama huku Simba ikiwa kileleni mwa msimamo na alama za 71, alama 17 zaidi ya Azam Fc inayoshika nafasi ya pili

Ligi itakaporejea Simba itahitaji kushinda mechi tano tu kati ya 10 zilizosalia ili kutwaa ubingwa

 

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
2h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
14h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
20h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
23h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’