Miraji atahitaji wiki mbili tu kunoa makali

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
11 Apr 2020
Miraji atahitaji wiki mbili tu kunoa makali

Mshambuliaji wa Simba, Miraji Athuman, amesema mazoezi ya wiki mbili yatamfanya arejee katika ubora wake ambao alikuwa nao kabla ya kupata majeraha

Miraji aliyekuwa nje kwa zaidi ya miezi minne kutokana na majeraha ya enka,  amesema anafanya mazoezi ya kunyonga baiskeli kwa ajili ya kujiweka sawa kabla ya kurudi rasmi uwanjani.

Miraji alisema mazoezi hayo ya wiki mbili yatamfanya arudi katika kiwango chake kilichozoeleka

"Nilipewa mazoezi ambayo naendelea kufanya ili kurejea kwenye ubora wangu, kwa muda wa wiki mbili nitakuwa ninaendesha kibaiskeli maalumu kwa ajili ya kujiweka sawa," alisema Miraji.

"Ninamshukuru Mungu afya yangu imeimarika, nimefuata maelekezo yote niliyokuwa napewa na daktari wangu, ninajuwa mashabiki wangu wana kiu ya kuniona, nawaahidi nitarejea kwa kasi ile ile," Miraji alisema.

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
7h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
9h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
10h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
16h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’