Simba italinda mastaa wake - Senzo

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
10 Apr 2020
Simba italinda mastaa wake - Senzo

Mtendaji Mkuu wa Simba Senzo Mazingisa amesema kwa sasa klabu hiyo bado haijaanza michakato yoyote ya usajili lakini amekiri kuwa kwenye mazungumzo na baadhi ya nyota ambao mikataba yao inaelekea ukingoni

Kumekuwa na tetesi nyingi ambazo zinawahusisha baadhi ya nyota wa Simba hasa wale ambao mikataba yao inamalizika kuhusishwa na timu nyingine

"Sisi bado hatujaanza usajili, hizo tetesi siwezi kuzizungumzia, Lakini kwenye usajili wetu tutazingatia zaidi ripoti ya Mwalimu," alisema Senzo

"Wachezaji wote ambao Mwalimu amewataka, wataendelea kubaki hapa. Mashabiki wetu hawapaswi kuwa na hofu yoyote"

Baadhi ya wachezaji muhimu wa kikosi cha kwanza wako ukingoni mwa mikataba yao na inaelezwa kuna timu zimeanza kuwanyemelea

Sharaf Shiboub, Hassan Dilunga, Clatous Chama na Deo Kanda ni miongoni mwa wachezaji hao ambao mpaka sasa bado hawajapewa mkataba mipya

Wengine ni Mzamiru Yassin, Paschal Wawa, Yusufu Mlipili, Gerson Fraga, Tairone Da Silva na Said Ndemla

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
5h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
7h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
8h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
10h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
15h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’