Simba imempa raha Mkuu wa Kitengo cha Habari na Mawasiliano Haji Manara kufuatia ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya Singida United.
Manara anasherehekea siku yake ya kuzaliwa leo na ushindi huo umenogesha sherehe hiyo.
Baada ya mchezo Manara alijumuika na wachezaji wa kikosi cha Simba katika hafla fupi ambapo aliitumia hafla hiyo kutoa shukrani kwa kazi nzuri iliyofanywa na wachezaji

ADVERTISE HERE