FIFA yafafanua mikataba ya wachezaji

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
8 Apr 2020
FIFA yafafanua mikataba ya wachezaji

Ikiwa ndio baadhi ya wachezaji wanaelekea kumaliza mikataba yao na Dirisha la usajili la msimu wa joto linakaribia, Shirikisho la Kandanda Ulimwenguni FIFA limetoa ufafanuzi zaidi kwamba mkataba wa mchezaji utamalizika kwenye klabu yake pale tu msimu wa Ligi utakapomalizika.

Kwasasa ikumbukwe kwamba ligi kadhaa Ulimwenguni zimesimama kutokana na mlipuko wa virusi vya Corona na ligi mbalimbali zilitaraji kuhitimishwa mwezi ujao wa Mei

Hivyo ni wazi mkataba wa wachezaji na klabu yake utahesabika kwamba utamalizika pale tu msimu wa ligi utakapo kuwa umemalizika.

Wakati huohuo pia FIFA Imethibitisha kuwa dirisha la usajili msimu wa majira ya joto litaendelea zaidi ya Juni 30 ikiwa ni mapendekezo yaliyokubaliwa na wadau wote pamoja na viongozi wa mpira.

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
30m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
4h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
16h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
22h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’