Kumbukumbu ya miaka 48 kifo cha Karume

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
7 Apr 2020
Kumbukumbu ya miaka 48 kifo cha Karume

Leo ni kumbukumbu ya miaka 48 tangu kifo cha Muasisi wa Zanzibar hayati Abeid Aman Karume aliyefarki dunia April 07 1972 kwa kupigwa risasi

Uongozi wa klabu ya Simba umewatakia Wanasimba na Watanzania wote maadhimisho meme ya siku hii

Kwa wasiofahamu hayati Karume anaingia kwenye kumbukumbu ya historia ya klabu ya Simbwa kwani inaelezwa ni yeye aliyependekeza kubadilishwa kwa jina la Sunderland mwaka 1971

Lakini pia inaelezwa kwenye historia kuwa Karume alichangia kiasi cha fedha kufanikisha Simba kumiliki jengo lake pale Msimbazi

Alifanya hivyo kwa klabu ya Yanga pia ambapo inaelezwa ni yeye aliyegharamia ujenzi wa jengo lao lililoko Jangwani

Historia itaendelea kumkumbuka Karume kwa mambo mengi aliyofanya enzi za uhai wake

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
5m ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
1h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
6h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
17h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
23h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’