Kotei afungua milango kurejea Simba

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
6 Apr 2020
Kotei afungua milango kurejea Simba

Kiungo wa zamani wa Simba kiraka James Kotei amesema kuwa iwapo mabosi wake hao wa zamani watahitaji saini yake hana tatizo nao kwani hawakuachana vibaya.

Kotei aliibuka kuwa kiungo bora wa Simba kwa msimu wa 2018/19 walipotwaa ubingwa wa Ligi Kuu Bara

Hata hivyo aliondoka Simba mwishoni mwa msimu huo baada ya kupata ofa nono kutoka klabu ya Kaizer Chiefs inayoshiriki ligi kuu ya Afrika Kusini

Amesema hawezi kukataa kurejea kunako mabingwa hao wa nchi, timu aliyoitumikia kwa mafanikio makubwa

"Ubora wa Simba hakuna ambaye anaweza kugoma kufanya kazi kutokana na ushirikiano uliopo na ukizingatia kwamba sikugombana na viongozi.

"Iwapo itatokea kila kitu kimekwenda sawa nitarudi kuvaa jezi ya Simba kazi yangu ni mchezaji sichagui kambi," amesema.

Kwa sasa Kotei yuko huko Belarus akicheza soka la kulipwa

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
46m ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
3h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
4h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
6h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
10h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
22h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’