Simba haina mpango wa kuacha wachezaji wake muhimu

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
5 Apr 2020
Simba haina mpango wa kuacha wachezaji wake muhimu

Pamoja na baadhi ya wachezaji ambao mikataba yao inaelekea ukingoni hawana nafasi kwenye kikosi cha kwanza, uongozi wa Simba umedhamiria kuwaongeza mikataba mipya

Kocha Mkuu wa Simba Sven Vandenbroeck alipendekeza baadhi ya wachezaji hao kupewa mikataba mipya lakini wengine wanaweza kutolewa kwa mkopo kwenda timu nyingine ili kuwaimarisha

Mtendaji Mkuu wa Simba Senzo Mazingisa amesema kabla ya kuanza kuwasajili wachezaji wapya, watawabakisha wale wote ambao mikataba yao inamalizika kulingana na mapendekezo ya Sven

"Tunabajeti ya kutosha kukamilisha dili za wachezaji hao muhimu wote ambao mwisho wa msimu huu wanamaliza mikataba

"Halitakuwa jambo la kupendeza mnasajili wachezaji wapya wakati tuliokuwa nao ndani wanamaliza mikataba yao halafu tutashindwa kuongea nao lolote. Itakuwa si heshima kwa upande wao, ndio maana tunataka kuweka nguvu kubwa kwa ambao tunao na baada ya hapo mipango mingine itafuata"

Simba inatarajiwa kufanya usajili 'kabambe' kwa ajili ya michuano ya ligi ya mabingwa barani Afrika msimu ujao

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
3h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
15h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
21h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
23h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’