Kampuni ya METL imeanza utengenezaji wa vitakasa mikono(Sanitizers) ili kuhakikisha kuwa zinapatikana kwa wananchi kwa bei nafuu
Hii ni juhudi ya pamoja kusaidia nchi katika kupambana na ugonjwa uenezwao na virusi vya Corona
Ni hatua muhimu katika jitihada za kudhibiti maambukizi mapya ya Corona ambapo mpaka sasa watu 20 wamethibitika kuambukizwa hapa Tanzania
ADVERTISE HERE