Ni mapema kufikiria kufuta ligi - Sven

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
4 Apr 2020
Ni mapema kufikiria kufuta ligi - Sven

Kocha Mkuu wa Simba Sven Vandenbroeck amesema anaamini ligi kuu ya Tanzania Bara itaweza kumalizika baada ya changamoto ya Corona kupita

Vandenbroeck amesema kwa sasa ni mapema sana kufikiria uamuzi huo

"Nina imani kutakuwa na muda wa ligi kuweza kumalizika, kwa sasa ni vyema kulinda maisha ya kila  mmoja wetu kutokana na janga hili la Corona," amesema Sven

"Kufikiria kufuta ligi sasa ni mapema sana, tuziache mamlaka zifanyie kazi changamoto iliyopo kwanza"

Sven ametoa maoni hayo siku moja baada ya baadhi ya timu za Ligi Kuu kupendekeza ligi hiyo imalizike sasa

Kulingana na gazeti la Mwanaspoti, Makamu Mwenyekiti wa Yanga Fredrick Mwakalebela alipendekeza ligi imalizwe, klabu ya Simba inayoongoza ligi ikabidhiwe ubingwa huku akipendekeza klabu ya Azam Fc ambayo inashikilia ubingwa wa kombe la FA ipewe nafasi ya kushiriki michuano ya kombe la Shirikisho barani Afrika pamoja na Simba

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
8h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
14h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
17h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
20h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
20h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
21h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’