Ajib aja na taasisi ya kusaidia yatima

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
3 Apr 2020
Ajib aja na taasisi ya kusaidia yatima

Kiungo fundi wa mpira Ibrahim Ajib Migomba ameanzisha taasisi ya kusaidia watoto yatima wakati huu wa kupambana na janga la Corona

Taasisi hiyo iliyozinduliwa leo, itatoa chakula na vifaa mbalimbali vya kujikinga na corona kwa watoto yatima

Ajib amewataka watu wengine wenye uwezo nchini kuungana nae katika kutekeleza jambo hilo jema kwa jamii

"Ukiangalia kundi hili ni kama limesahauliwa na wako hataraini zaidi kwani kila mtu sasa anapambana na corona yeye na familia yake"

"Nimejitolea kutoa kile kidogo nilichojaliwa na Mwenye ez Mungu kuwasaidia watoto hawa ili nao waweze kutimiza ndoto zao"

"Natoa wito kwa watu wote ambao wana uwezo tuungane pamoja kuisaidia jamii katika kipindi hiki kigumu," alisema Ajib

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
2h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
4h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
5h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
7h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
12h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
23h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’