Wasiopata nafasi Simba kutolewa kwa mkopo

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
2 Apr 2020
Wasiopata nafasi Simba kutolewa kwa mkopo

Kocha Mkuu wa Simba Sven Vandenbroeck tayari amewasilisha mapendekezo yake ya usajili kuelekea msimu ujao

Wakati huu Simba inaendelea na michakato ya kuhuisha mikataba ya wachezaji iliyomalizika lakini Sven amependekeza baadhi ya wachezaji ambao bado mikataba yao haijamalizika, watolewe kwa mkopo kwenda timu nyingine

Mtendaji Mkuu wa Simba Senzo Mazingisa amefichua kuwa katika usajili watakaofanya watazingatia pendekezo hilo la Sven

Nyota kama Ibrahim Ajib, Kennedy Juma, Yusufu Mlipili, Said Ndemla na Rashid Juma ni miongoni mwa wachezaji ambao wamekuwa na nafasi finyu kwenye kikosi cha kwanza Simba

Ndemla na Mlipili mikataba yao inamalizika mwishoni mwa msimu, mazungumzo ya kuwapa mikataba mipya inaelezwa yapo

Hata hivyo kwa Ndemla huenda kukawa na ugumu kwani nyota huyo anajiandaa kuelekea nchini Sweden

Lakini pia klabu ya Polisi Tanzania inatajwa kumtaka kiungo huyo mwenye msuli wa kupiga mashuti

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Simba kuanza na Pirates nyumbani makundi CAFCL
Simba kuanza na Pirates nyumbani makundi CAFCL
9h ago
READ MORE β†’
Simba uso kwa uso na Berkane, Pirates kundi C
Simba uso kwa uso na Berkane, Pirates kundi C
10h ago
READ MORE β†’
Simba yatangaza ratiba ya uchaguzi, Wanachama kuanza kuchukua fomu Oktoba 30
Simba yatangaza ratiba ya uchaguzi, Wanachama kuanza kuchukua fomu Oktoba 30
10h ago
READ MORE β†’
Hakuna rekodi ya zamani ambayo itaishi mbele ya Simba - Ahmed
Hakuna rekodi ya zamani ambayo itaishi mbele ya Simba - Ahmed
13h ago
READ MORE β†’
Makundi CAFCL kujulikana leo
Makundi CAFCL kujulikana leo
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
19h ago
READ MORE β†’
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
1d ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
1d ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
1d ago
READ MORE β†’